IQNA

Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, ...

وَاللَّهُ الَّذِي أَرْسَلَ الرِّيَاحَ فَتُثِيرُ سَحَابًا فَسُقْنَاهُ إِلَى بَلَدٍ مَّيِّتٍ فَأَحْيَيْنَا بِهِ الْأَرْضَ بَعْدَ مَوْتِهَا كَذَلِكَ النُّشُورُ
Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha kwenye nchi iliyo kufa, tukaifufua ardhi baada ya kufa kwake. Ndivyo kama hivyo kutakavyo kuwa kufufuliwa.
Surat Faat'ir Aya ya 9
Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, ...
Kishikizo: surat