IQNA

Kadhia ya Palestina

Marekani yatumia kura ya turufu kupinga uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa

IQNA-Marekani, ambayo ni muungaji mkono mkuu wa utawala haramu wa Israel, imeendeleza sera yake ya kudhoofisha kupatikana haki za Wapalestina kwa kutumia...
Ahadi ya Kweli

Hali ni shwari baada ya Iran kutungua quadcopter tatu katika mji wa Isfahan

IQNA-Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran umetungua ndege tatu ndogo zisizo na rubani aina ya quadcopter katika mkoa wa...
Waislamu Marekani

Jela ya Kentucky Marekani kuruhusu Hijabu baada ya mapatano

IQNA - Mapatano yamefikiwa katika kesi inayohusu jela ya Mkoa wa Warren iliyoko Bowling Green, Kentucky, nchini Marekani kuhusu mwanamke Muislamu kunyimwa...
Historia

Mkutano wa kimataifa kuhusu Makaburi ya Baqi wazinduliwa Qom

IQNA - Mkutano wa kimataifa uliopewa jina la "Makaburi ya Baqi, Mahali Walimozikwa Maimamu na Masahaba" umefanyika katika mji mtakatifu wa Iran wa Qom...
Habari Maalumu
Balozi wa Iran nchini Iraq: Arbaeen Machi Mfano wa Utamaduni Mtukufu wa Kiislamu
Arbaeen

Balozi wa Iran nchini Iraq: Arbaeen Machi Mfano wa Utamaduni Mtukufu wa Kiislamu

IQNA - Balozi wa Iran nchini Iraq Mohammad Kazem Al Sadeq amesema kuimarika kila mwaka mjumuiko na matembezi ya Arbaeen kama mfano wa utamaduni adhimu...
19 Apr 2024, 16:36
Operesheni ya Iran ya Ahadi ya Kweli imesembaratisha dhana potofu ya kutoshindwa Israel
Ahadi ya Kweli

Operesheni ya Iran ya Ahadi ya Kweli imesembaratisha dhana potofu ya kutoshindwa Israel

IQNA – Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Lebanon amepongeza shambulio la hivi karibuni la Iran dhidi ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na akisema...
18 Apr 2024, 10:52
Msomi wa Yemen: 'Ahadi ya Kweli' haikuwa tu operesheni ya kulipiza kisasi
Ahadi ya Kweli

Msomi wa Yemen: 'Ahadi ya Kweli' haikuwa tu operesheni ya kulipiza kisasi

IQNA - Profesa wa chuo kikuu cha Yemeni amesema "Operesheni ya Ahadi ya Kweli" ya kijeshi ya Iran dhidi ya Israeli ilikuwa zaidi ya shambulio la kulipiza...
17 Apr 2024, 22:59
UN: Watu Milioni 2 huko Gaza wanapata matatizo makubwa ya kimaisha kila siku
Jinai za Israel

UN: Watu Milioni 2 huko Gaza wanapata matatizo makubwa ya kimaisha kila siku

IQNA - Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya katika Ukanda wa Gaza ambapo watu wanahangaika maisha kila siku, ukitangaza kuwa utazindua ombi la kimataifa...
17 Apr 2024, 17:57
Kikao cha Madina kujadili fursa za kuboresha Hija ya Umra
Hija na Umrah

Kikao cha Madina kujadili fursa za kuboresha Hija ya Umra

IQNA – Kikao cha kwanza cha Jukwaa la Hija na Umrah kimepangwa kuanza Jumatatu ijayo, Aprili 22, katika mji mtakatifu wa Madina, Saudi Arabia.
18 Apr 2024, 11:02
Fatwa Milioni 1.5 hutolewa katika lugha 12 nchini Misri kila mwaka
Mafundisho ya Kiislamu

Fatwa Milioni 1.5 hutolewa katika lugha 12 nchini Misri kila mwaka

IQNA - Kituo cha Darul Iftaa cha Misri kimetoa Fatwa milioni 1.5 mshauri wa Mufti Mkuu wa nchi hiyo alisema.
17 Apr 2024, 17:48
Nukta nane kuhusu Shambulio la Kulipiza kisasi la Iran dhidi ya Israel
Ahadi ya Kweli

Nukta nane kuhusu Shambulio la Kulipiza kisasi la Iran dhidi ya Israel

IQNA - Mchambuzi wa Lebanon ameorodhesha nukta nane kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi wa Iran dhidi ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuja baada...
16 Apr 2024, 20:22
Mafundisho ya Quran kuhusu Nidhamu ya Kihisia
Nidhamu katika Qur'ani /2

Mafundisho ya Quran kuhusu Nidhamu ya Kihisia

IQNA – Mafundisho ya Qur’ani Tukufu yanatupa miongozo na kutoa kielelezo cha nidhamu ya kihisia, kutusaidia kuzuia kuathiriwa na mihemko katika hali tofauti.
16 Apr 2024, 20:59
Vikao vya Qur'ani katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuenzi operesheni ya Iran dhidi ya Israel
Ahadi ya Kweli

Vikao vya Qur'ani katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuenzi operesheni ya Iran dhidi ya Israel

IQNA - Msururu wa vikao vha kusoma  Qur'ani Tukufu ambavyo vimepewa jina la "Ahadi ya Kweli" vinafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko...
16 Apr 2024, 19:56
Mufti wa Oman apongeza hatua ya Iran kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Israel
Ahadi ya Kweli

Mufti wa Oman apongeza hatua ya Iran kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Israel

IQNA-Mufti Mkuu wa wa Oman amekaribisha na kupongeza mashambulizi ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
16 Apr 2024, 16:30
Daraja la Golden Gate la San Francisco lafungwa kuuunga mkono Gaza (+Video)
Jinai za Israel

Daraja la Golden Gate la San Francisco lafungwa kuuunga mkono Gaza (+Video)

IQNA - Barabara kuu ya 101 ya San Francisco kwenye daraja la Golden Gate ilifungwa na waandamanaji wanaounga mkono Palestina wakitaka kukomesha uungaji...
16 Apr 2024, 16:51
Onyo la Iran kwa Marekani: Msithubutu kuchukua hatua za kijeshi
Ahadi ya Kweli

Onyo la Iran kwa Marekani: Msithubutu kuchukua hatua za kijeshi

IQNA-Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameionya Marekani kuhusu kuanzisha hatua za kijeshi dhidi ya Iran baada ya operesheni yake ya kisheria ya hivi...
15 Apr 2024, 16:41
Qur'ani Tukufu  inasemaje kuhusu nidhamu
Nidhamu katika Qur'ani /1

Qur'ani Tukufu inasemaje kuhusu nidhamu

IQNA – Qur’ani Tukufu, pamoja na kuangazia mpangilio katika uumbaji wa ulimwengu wa asili, inawaalika wanadamu kwenye mfululizo wa maadili, tabia na maelekezo...
14 Apr 2024, 14:58
Iran yaonya itatoa jibu kali iwapo utawala wa Israel utafanya harakati yoyote ya kifidhuli
­­­­­­­­­Ahadi ya Kweli

Iran yaonya itatoa jibu kali iwapo utawala wa Israel utafanya harakati yoyote ya kifidhuli

IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya harakati yoyote ya kifidhuli utakabiliwa na...
14 Apr 2024, 19:54
Mkorea aliyesilimu kujenga Msikiti huko Incheon
Waislamu Korea Kusini

Mkorea aliyesilimu kujenga Msikiti huko Incheon

IQNA - Daud Kim, msanii maarufu wa pop wa Korea Kusini na YouTuber ambaye alikubali Uislamu mnamo 2019, ameanza mradi wa kujenga msikiti huko Incheon,...
14 Apr 2024, 14:46
Algeria kuongeza zawadi za fedha taslimu  katika mashindano ya Qur'ani
Mashindano ya Qur'ani Algeria

Algeria kuongeza zawadi za fedha taslimu katika mashindano ya Qur'ani

IQNA - Rais wa Algeria ameamuru kuongezwa kwa zawadi za fedha zinazotolewa kwa washindi wa mashindano ya Qur'ani nchini humo.
14 Apr 2024, 14:45
Picha‎ - Filamu‎