Mashindano hayo ya siku mbili yamemalizika leo Aprili 10 na yalijumuisha kuhifadhi Qur'ani Tukufu, na pia ufahamu wa Sura Israa na Sura Hujurat.
Lengo la mashindano hayo limetajwa kuwa kuwafanya vijana waifahamu Qur'ani na mafundisho yake sambamba na kuisoma katika mwezi wa Ramadhani.
Kituo cha utamaduni cha Iran mjini Peshawar hujihusisha na harakati mbali mbali za kiutamaduni ikiwa ni pamoja na kuandmaa mashindano ya Qur'ani katika mwezi wa Ramadhani.