IQNA

Amali za Laylatul Qadr katika Haram ya Imam Ali AS

23:15 - May 03, 2021
Habari ID: 3473874
TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Imam Ali (AS) katika mji wa Najaf nchini Iraq imeandaa vikao vya amali katika usiku kwa kwanza wa Laylatul Qadr katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Jumamosi usiku.

Usiku wa Laylatul Qadri (Usiku wenye heshima kubwa katika mwezi wa Ramadhani) umetakwa katika Qur’ani Tukufu kuwa bora kuliko miezi elfu. Huu ni usiku ambao Qur’ani Tukufu imeteremshwa.

Amali za usiku huu wenye cheo zimefanyika kwa kuzingatia kanuni za kiafya wakati huu wa janga la corona.

 
 
Habari zinazohusiana
captcha