TEHRAN (IQNA)- Kwa mwaka wa pili mfululizo, Waislamu wamefunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani janga la COVID-19 likiwa limeenea duniani kote.
Katika maeneo mengi ya dunia kumewekwa vizingiti vingi ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 na hivyo mwezi mtukufu wa Ramadhani haukuwa kama ilivyoadha katika nchi nyingi. Pamoja na ku