iqna

IQNA

wiki ya umoja wa kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatuma ujumbe wa wasomaji Qur’ani katika nchi saba duniani kwa munasaba wa Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Maulidi ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471290    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/01

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 300 kutoka nchi 93 duniani.
Habari ID: 3471288    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/30

TEHRAN (IQNA)-Sheikhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed el-Tayeb amealikwa kuhudhuria Mkutanowa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaofanyika wiki ijayo mjini Tehran, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471286    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/28

IQNA-Kongamano la 30 la Kimataifa la Umoja kati ya Kiislamu limeanza asubuhi ya leo mjini Tehran huku maudhui kuu ikiwa ni udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.
Habari ID: 3470744    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/15

Kwa munasaba wa kuanza Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa dini na madhehebu mbali mbali hapa nchini umesaidia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.
Habari ID: 3470737    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/12