Habari Maalumu
IQNA – Mashindano ya 11 ya Kimataifa ya Arbaeen yametangaza rasmi mwaliko wa ushiriki katika nyanja mbalimbali za sanaa na fasihi.
13 Aug 2025, 23:21
IQNA – Pendekezo la kutangaza Adhana mara moja kwa wiki kutoka Msikiti wa Lakemba limekataliwa na baraza la eneo hilo, lakini viongozi wa jamii wamesema...
13 Aug 2025, 00:01
IQNA – Mashirika 14 ya Kiislamu nchini Uholanzi yamewasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya mwanasiasa wa mrengo mkali wa kulia na anayepinga Uislamu, Geert...
12 Aug 2025, 23:52
IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani amewataka wafanyaziyara wa Arbaeen kudumisha swala kwa wakati, ikhlasi ya moyo na na mavazi ya heshima na yenye staha katika...
12 Aug 2025, 23:40
IQNA – Toleo la 45 la mashindano ya kimataifa ya Qur’ani linaloendelea mjini Makkah limeendelea Jumatatu katika Msikiti Mtukufu (Masjid al Haram), likishuhudia...
12 Aug 2025, 23:20
IQNA – Qari kutoka Iran, Hamidreza Amadi-Vafa, amesema kuwa kusoma Qur’ani katika njia ya kutoka Najaf hadi Karbala wakati wa Arbaeen hujenga mazingira...
12 Aug 2025, 23:09
IQNA – Roboti za kielektroniki zinazoweza kuingiliana na watumiaji zimetumika katika toleo la 45 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika Makkah...
11 Aug 2025, 23:59
IQNA – Mufti Mkuu wa India amewahimiza maimamu wa misikiti mbalimbali nchini humo kuandaa dua maalumu na saumu kwa nia ya kuwasaidia Waislamu wa Gaza.
11 Aug 2025, 23:47
IQNA – Jukwaa la kielimu la Qur’ani kwa ajili ya wasiozungumza Kiarabu linazinduliwa nchini Saudi Arabia.
11 Aug 2025, 23:32
IQNA – Siku ya pili ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma kwa Tajwidi na Kufasiri Qur’ani Tukufu ilishuhudia washiriki...
11 Aug 2025, 23:27
IQNA – Katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita, dada watatu wa Kipalestina wamekamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote, licha ya kuvumilia mashambulizi...
11 Aug 2025, 23:21
IQNA – Maonyesho ya sanaa yenye maudhui ya Qur’ani yameandaliwa kando ya njia ya Ziyara ya Arbaeen ili kuonesha thamani za harakati ya Imam Hussein (AS)...
10 Aug 2025, 23:53
IQNA-Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool, Mohamed Salah amekosoa hatua ya Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA ya kumuenzi Suleiman Al-Obeid,...
10 Aug 2025, 23:46
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa matembezi Arbaeen yanabeba kanuni muhimu ambazo zinaweza kusaidia kuweka msingi wa kustawishwa upya kwa...
10 Aug 2025, 23:39
IQNA – Qari bora wa kiume wa Malaysia katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani mwaka huu nchini humo amesema kuwa kujifunza kutoka kwa mashaikh wa qiraa’ah...
10 Aug 2025, 23:32
IQNA – Wawakilishi wawili kutoka Malaysia wametwaa ubingwa katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Malaysia (MTHQA)...
10 Aug 2025, 08:45