IQNA - Kamanda katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu haitajihusisha na vita vya moja kwa moja na utawala haramu wa Israel na kwamba jibu la shambulio la Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria halitakuwa kwa makombora na ndege zisizo na rubani pekee.
06:50 , 2024 Apr 08