iqna

IQNA

IAEA
Kadhia ya Nyuklia
TEHRAN (IQNA)- Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA jana Jumanne alifanyiwa mahojiano makao makuu ya wakala huo mjini Vienna; na moja ya masuali aliyoulizwa ni kuhusu takwa la Iran la kumtaka alaani hujuma zilizofanywa dhidi ya vituo vyake vya nyuklia.
Habari ID: 3475356    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema moja ya fahari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa inawaruhusu wanawake waendeleze harakati zao katika sekta mbali mbali.
Habari ID: 3472893    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, ametoa kauli baada ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki ( IAEA ) kupitisha azimio dhidi ya Iran na kusema: "Nchi za Magharibi na hasa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya kwa mara nyingine tena zimedhihirisha utambulisho wao hasimu na wa kutoaminika mbele ya taifa la Iran."
Habari ID: 3472884    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/21