iqna

IQNA

ramadhani
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 23 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478625    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/03

Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478624    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478623    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/06

Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478622    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/05

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478621    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/04

Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
Habari ID: 3478620    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/03

Ramadhani katika Quran
IQNA - Usiku wa Qadr, au Laylatul Qadr unaojulikana pia kama Usiku wa Hatima, una sifa nzuri kama zilivyoangaziwa katika Qur'ani Tukufu. Fadhila hizi hutumika kuwahimiza waumini wanufaike na usiku huu ambao unapatikana katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478617    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 22 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478615    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala hivi karibuni ilihitimisha awamu ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani, ambayo yamefanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478612    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Maombolezo
IQNA - Zaidi ya waumini milioni moja walikusanyika kwenye HaramTukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq katika maombolezo yaliyofanyika wakati wa kumbukumbu  ya kifo chake cha kishahidi na kushika sambamba na ibada za Usiku wa Laylatul Qadr.
Habari ID: 3478611    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.
Habari ID: 3478610    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 21 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478609    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri alisoma aya za Qur'ani Tukufu katika Kipindi cha Televisheni cha Mahfel kinachorushwa kila siku kupitia Kanali ya Tatu ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB).
Habari ID: 3478607    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/31

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 20 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478606    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/31

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 19 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478602    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/30

Umrah na Ramadhani
IQNA - Katika nusu ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, karibu Waislamu milioni 15 walikwenda kwenye Msikiti wa Mtume SAW yaani Al-Masjid an-Nabawi huko Madina, eneo la pili takatifu katika Uislamu, kulingana na afisa wa Saudia.
Habari ID: 3478601    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kimefika ukingoni Alhamisi
Habari ID: 3478599    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 18 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478597    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 17 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478594    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/28

Qur'ani Tukufu
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 16 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
Habari ID: 3478587    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27