iqna

IQNA

zakzaky
Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano katika miji kadhaa wakipinga kuendelea kuwekwa kizuizini Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN).
Habari ID: 3470217    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/27

Jeshi la Nigeria limeendelea na hujuma zake dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia baada ya kubomoa Huseiniyyah nyingine katika mji wa Zaria ulioko katika jimbo la Kaduna.
Habari ID: 3469062    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/25

Bintiye Sheikh Zakzaky
Bi. Nusaiba Zakzaky bintiye Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ametoa taarifa akibainisha hali ya Waislamu nchini Nigeria na kusema, serikali ya nchi hiyo inawakandamiza Waislamu wa madhehebu zote.
Habari ID: 3468456    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/23

Maafisa wa Nigeria wamesema kuwa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye alitiwa nguvuni na jeshi huku familia na wafuasi wake wakichukuliwa hatua kali za jeshi na kusababisha umwagaji damu watashtakiwa.
Habari ID: 3467870    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/21

Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kisuni wa Iraq amefichua mkono wa Saudi Arabia katika mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3467471    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/20

Maandamano ya kulaani mauaji ya umati ya Waislamu nchini Nigeria yameendelea kushuhudiwa katika pembe mbali mbali za dunia.
Habari ID: 3467081    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/20

Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu ICRO limetoa taarifa na kulaani hujuma ya hivi karibuni ya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia ambapo zaidi ya waumini 1000 wameripotiwa kuuawa.
Habari ID: 3464304    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/17

Polisi nchini Nigeria wameendeleza ukatili wa jeshi la nchi hiyo kwa kuwaua Waislamu wanne wa madhehebu ya Shia huku magaidi wa Boko Haram wakiachwa huru kuendeleza mauaji yao.
Habari ID: 3463969    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16

Vikosi vya jeshi la Nigeria Jumapili alfajiri vililvamia nyumba ya Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Washia wa nchi hiyo katika mkoa wa Zaria jimboni Kaduna, na hatimaye kumtia mbaroni kiongozi huyo wa kidini.
Habari ID: 3463089    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14

Jeshi la Nigeria limemkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini wa nchi hiyo.
Habari ID: 3462774    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/13