IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, alimtembelea Ayatullah Hossein Ali Nouri Hamedani katika hospitali moja mjini Tehran.
IQNA – Mkutano umefanyika Tehran Jumatatu ili kujadili mikakati ya kuendeleza vipengele vya kimataifa vya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
IQNA-Maktaba na Makavazi ya Kitaifa ya Misri, inayojulikana kama Dar Al-Kutub, inahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa hati za Qur’ani za kale na za kihistoria, baadhi yake zikiwa na zaidi ya miaka elfu moja.
IQNA-Iran imetangaza kaulimbiu rasmi ya matembezi adhimu ya ya Arbaeen mwaka 1447 (2025), ni Inna Ala Al-Ahd" (Tuko Katika Ahadi") ili kuonyesha uaminifu kwa maadili ya Imam Hussein (AS).
IQNA-Taasisi ya Dar-ol-Quran ya Idara ya Mfawidhi wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) imetangaza kuanza kwa raundi ya pili katika hatua ya awali ya Tuzo ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Karbala.